UGONJWA WA KANSA (SARATANI) – Aina, Chanzo, Dalili & Tiba

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA KANSA

Kansa ni ugonjwa unaotokea baada ya kuharibika pia kubadilika kwa seli na kuanza kuzaliana katika mili nazo huitwa seli za kansa, Kansa hutokea kwa binadamu, wanyama na viumbe hai wengine. Seli huharibika,hurekebishika au kufa, ila seli zisipokufa au zisipo rekebishika huwa seli zisizo za kikawaida (hazihitajiki mwilini) ndipo huanza kuzaliana na kuwa seli za kansa. Seli za kansa hutumia seli za kawaida kuzaliana, kusafiri kwa kutumia damu na lymph. Seli za kansa huzaliana na kuhama tokea upande mmoja wa mwili kwenda mwingine hii hali huitwa metastasis

Kansa ni ugonjwa unaouwa kwa kiasi kikubwa duniani, idadi ya watu millioni 8.2 walikufa (Ikiwa ni asilimia 22% ya vifo vyote; Hizi ni taarifa kutoka Shirika la Afya duniani (World Health Organization,2016)). Na ikikadiriwa kufika mwaka 2030 idadi ya vifo kuwa million 13.1. Aina ya kansa zinazoongoza kuua kila mwaka ni pamoja na kansa ya mapafu, kansa ya tumbo, kansa ya ini, kansa ya utumbo, kansa ya matiti

AINA ZA KANSA

Kuna aina zaidi ya 100 za kansa,

Aina za kansa na idadi ya Vifo iliyofanyika na Taasisi ya kansa duniani (National Cancer Institute 2016)

Aina ya KansaMakadirio ya Vifo MapyaMakadirio ya Vifo 2016
Kibofu76,96016,390
Matiti/Kifua (Female — Male)246,660 — 2,60040,450 — 440
Utumbo mdogo134,49049,190
Endometriamu (Kizazi)60,05010,470
Kibofu62,70014,240
Leukemia (Aina zote)60,14024,400
Mapafu224,390158,080
Ngozi (Melanoma)76,38010,130
Damu (Lymphoma)72,58020,150
Kongosho (Pancreatic)53,07041,780
Tezi Kibofu (Prostate)180,89026,120
Dundumio (Thyroid)64,3001,980

CHANZO CHA UGONJWA WA KANSA

Kuna vyanzo vingi vya ugonjwa wa kansa, viashiria vinavyoweza kuharibu seli na kujiunda mwilini kwa kasi huweza sababishwa na mazingira pamoja na mitindo ya maisha, hivyo vyanzo ni pamoja na;

  1. Kemikali au Sumu kuingia mwilini: Huingia kwa mifumo tofauti kama chakula, hewa, vimiminika. Kemikali zenyewe ni kama Benzene, asbestos, nickel, cadmium, vinyl chloride, benzidine, N-nitrosamines, Sigara au tumbaku (huwa na kemikali zaidi ya 66 zinazofahamika kama kemikali za carcinogenic na sumu), asbestos, na aflatoxin
  2. Mnururisho au Mionzi hatari (Ionizing radiation): Uranium, radon, ultraviolet kutoka kwenye miale ya jua, mnururisho (radiation) kutoka kwenye alpha, beta, gamma, na mionzi ya X-ray
  3. Magonjwa yanayoambatana na Virusi na bacteria
  4. Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
  5. Kuvuta sigala
  6. Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili
  7. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi na vyenye kemikali nyingi
  8. Utumiaji wa vinywaji hatari; pombe, vyenye kemikali

DALILI ZA UGONJWA WA KANSA

Dalili hutofautiana kidogo kulingana na aina ya kansa, ila hulingana baadhi ya tabia kwakua zote huwa ni seli zisizohitajika mwilini na kuzaliana mwilini na kusambaa, baadhi ya hizo dalili ni;

pp1pdfglddubus7rxgvt
  1. Uchovu au kinyong’onyo
  2. Kuwa na mabonge au nundu au uvimbe mwilini hasa sehemu iliyoathirika hasa kwenye ngozi
  3. Uzito kubadilika bila mpango hasa kupungua uzito, kuongezeka ni asilimia ndogo
  4. Ngozi hubadilika; yaweza kubadilika rangi kuelekea unjano kiasi, weusi, wekundu kiasi, na ngozi kutokuwa na hisia
  5. Mkojo na choo kubadilika
  6. Kikohozi cha mda mrefu na kupata maumivu au shida wakati wa kupumua
  7. Kupata shida au kushindwa kumeza chakula
  8. Kubadilika kwa sauti
  9. Kupata homa isiyoeleweka na kutokwa na jasho usiku
  10. Kutokwa na michubuko na kutokwa na ndamu
  11. Kuwa na maumivu ya misuli na viungo yasioeleweka
  12. Waweza pata tatizo la mmeng’enyo na kusumbuka baada ya kula

JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA WA KANSA

  1. Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
  2. Usile vyakula vyenye kemikali nyingi, mafuta mengi na sukari nyingi
  3. Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
  4. Balansi usito wako
  5. Usitumie sigara
  6. Punguza au acha kunywa pombe
  7. Punguza mawazo
  8. Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
  9. Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

TIBA YA MAGONJWA YA KANSA

Ugonjwa wa Kansa unatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza. Wakati huo wengi huendelea kutumia dawa pamoja na vitu vyenye kemikali na hii hufanya wengi kuendelea kuumwa zaidi. Tiba zinazotumika pamoja Kemikali kali (chemotherapy), mionzi (radiation), au upasuaji (surgery).

Tuna dawa ya kutibu Ugonjwa wa Kansa ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa. Hizo dawa zinaondoa ugonjwa kabisa kama ukifuata maelekezo yanayotolea.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

MAWASILIANO

LOGO 1

MAISHA DAILY

S.L.P 66 MBOZI, SONGWE

maishadaily@yahoo.com

0766797400 /0763656541

4 thoughts on “UGONJWA WA KANSA (SARATANI) – Aina, Chanzo, Dalili & Tiba”

  1. Nduguyangu huwa anatokwa na damu puani na jasho jingi wakati wa usiku je Ni dalili za kansa?

    Like

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.